Habari za Punde

Vijana wa Jumuiya za Maendeleo Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo.

Mkufunzi kutoka Action aid akitowa mafunzo kwa wanajumuiya za maendeleo mkoa wa Kaskazini Pemba huko Weni Wete Pemba juu ya matumizi mazuri ya raslimali na ufuatiliaji wa fedha za Umma.  
Wanajumuiya za Female Youth Organisations na PYFO za mkoa wa Kaskazini Pemba. Wakipatiwa mafunzo ya haki za Binaadamu na ufuatiliaji wa matumizi ya Raslimali kutoka Shirika la Action aid yalio fanyika ukumbi wa Kilimo Weni Pemba. 
Picha na Mariam Salim - Pemba 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.