Baadhi ya Vijana ambao wamejikita katika shughuli za Ujasiria mali Kisiwani Pemba , mradi unaoratibiwa na kituo cha huduma za Sheria Kisiwani Pemba, wakipatiwa mafunzo ya namna ya kufanya biashara na kuwa walipaji Kodi kutoka kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) yaliofanyika katika Ukumbi wa Maktaba Chake Chake Pemba.

Ofisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Zanzibar, Abdalla Seif, akitowa mada juu ya umuhimu wa kujisajili kuwa mlipaji kodi kwa Vijana waliojikita katika harakati za Ujasiria mali huko katika ukumbi wa Maktaba Chake Chake Pemba.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA
No comments:
Post a Comment