Habari za Punde

ZSSF Yatowa Elimu ya Sheria Kwa Wanachama Wake Kisiwani Pemba.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Nchi , Utumishi wa Umma Pemba, Massoud Ali Moh'd, akifunguwa mkutano wa Wadau wa Mfuko wa hifadhi ya Jamii (ZSSF), juu ya mabadiliko ya badhi ya sheria za Mfuko huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Archipilago Tibirinzi Chake Chake Pemba.
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Hesabu za ndani  wamfuko wa ZSSF, Jumaane Juma Salamba, alitowa maelezo juu ya upungufu wa baadhi ya kumbu kumbu za Wanachama wa mfuko zinavyochelewesha malipo yao katika mkutano wa Wadau wa mfuko huo uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Archiipilago  Tibirinzi Chake Chake Pemba.


Baadhi ya Wadau wa mfuko  wa ZSSF Kisiwani Pemba, wakisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na Maofisa wa mfuko huo juu ya mabadiliko ya badhi ya sheria za mfuko huo.

Picha na Habiba Zarali  - Pemba..

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.