Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Wafanyakazi wa ZBC TV

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Anayeshughulikia Habari.Dkt Saleh Mnemo, wakati akiwasili katika viwanja vya jengo la Karume House kwa ajili ya mkutano wake na Wafanyakazi wa ZBC TV, (katikati) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja.Bi, Marine Thomes Joel 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC) Ndg. Chande Omar Omar, akizungumza na kutowa maelezo ya Kitaalum wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika kuzungumza na Wafanyakazi wa ZBC TV, katika ukumbi wa jengo la Karume House Zanzibar.  
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar,(ZBC) uliofanyika katika ukumbi wa Karume House mnazi mmoja Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC TV) mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Zanzibar (kulia kwa Rais )Mkurugenzi Mkuu wa (ZBC)Ndg. Chande Omar Omar na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC TV) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akizungumza na wafanyakazi hao katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Zanzibar. 
Washauri wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakifuatila hafla hiyo ya mkutano na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC TV) iliofanyika katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Zanzibar. 
Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar wakifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Wafanyakazib wa ZBC TV uliofanyika katika ukumbi wa Karume House Mnazi mmoja Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.