Habari za Punde

Maonesho ya Mkutano wa Kikanda wa Kimataifa Kwa Nchi Zinazotowa Huduma Maalum za Simu Kwa Watoto.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Bi. Evelyne Wilson Baruti wa Kijiji cha Kulelea Watoto cha SOS Zanzibar, wakati wa maonyesho kwenye Mkutano wa Kikanda na Kimataifa kwa Nchi zinazotoa huduma Maalum za Simu kwa Watoto.
 Afisa Mwandamizi ulinzi wa Watoto kutoka Shirika la kuhudumia Watoto {Save the Children} Shaib Abdullah Mohamed akijibu maswali ya Balozi Seif wakati alipotembelea eneo lao la maonyesho.
Meneja wa Shirika la kuhudumia Watoto Zanzibar Bibi Fatma Ahmad akimpatia maelezo Balozi Seif jinsi ya shirika lao linavyowajibika katika kulinda haki za Watoto.

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kikanda na Kimataifa kwa Nchi zinazotoa huduma Maalum za Simu kwa Watoto kutoka Mataifa 35 wakimsikiliza Balozi Seif alipokuwa akiufungua Mkutano wao hapo Verde Mtoni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.