Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe.Nassor Salim Jazira Akabidhi Vifaa Vya Michezo Kwa Wanafunzi wa Skuli ya Tumekuja

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar (mwenye suti nyeisi) akimkabidhi Seti ya Jezi na Mpira Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pemba Juma, akipokea kwa ajili ya Wanafunzi wa Timu ya Sekondari ya Tumekuja wakiwa na Wanafunzi wa Skuli hiyo hafla hiyo imefanyika hivi karibuni katika jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza na kutowa shukrani kwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni kwa msaada wake kwa Wanamichezo wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja kwa kuwakabidhi Vifaa vya michezo kuimarisha tumu yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.