Habari za Punde

Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar Yaaza Kwa Usafi wa Mazingira Unguja na Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Khadid Rashid (katikati), akizungumza na wananchi na wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za serikali, mara baada ya kumalizika kwa zoezi la ufanyaji wa usafi katika hospitali ya Chake Chake, kuelekea miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
BAADHI ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakifanya usafi katika hospitali ya Chake Chake, kuelekea maadhimisho ya miaka 56 ya Mapidnuzi matukufu ya Zanzibar.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.