Habari za Punde

Vifahamu Vitu vya Asili Vinavyotumika Zanzibar Enzi Hizo na Sasa.

Maonesho ya Vitu vya Asili vikioneshwa wakati wa Kongamano la Tatu la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. moja ya Vitu hivyo ni jinsi ya kupamba chumba kwa vitu vya asili kikiwemo kitanda cha besera, buli la maji viatu vya magongo na sanduku la mbao. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.