Habari za Punde

Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Waaswa Kufuata Maadili ya Uandishi

Afisa Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Ndg.Khatib Juma Mjaja, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi kisiwani Pemba, kufuata Maadili ya Uandishi wa Habari wanapokuwa katika majukumu yao ya Kazi, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Nyaraka Chakechake Pemba. 
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Afisa Mdhamini Wizara ya habari utalii na mambo ya kale Pemba.Ndg. Khatib Juma Mjaja alipokuwa akizungumza na waandishi wa vyombo vya serikali na binafsi Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.