Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (kushoto) akisalimiana
na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna wa Utawala na Fedha wa
Jeshi hilo Mbaraka Semwanza wakati alipotembelea Ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi
La Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma.
Kamishna
wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza
akiwasilisha taarifa ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wakati alipotembelea Ujenzi wa
Makao Makuu ya Jeshi ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akikagua Ujenzi wa
Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati alipotembelea
Ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo leo jijini Dodoma.
Picha ni sehemu ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unavyoendelea katika Makao Makuu ya Nchi jijini
Dodoma. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
No comments:
Post a Comment