Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli Akutana na Mjumbe wa Maalum wa Kansela wa Ujerumani na Profesa PLO Lumumba Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Msomi na Mwanamajumui  (Pan-Africanist)  Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba (Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)  alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Msomi na Mwanamajumuia  (Pan-Africanist)  Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)  alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24.  2020. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist)  Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  Msomi na  Mwanamajumui (Pan-Africanist) Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Msomi na Mwanamajumui (Pan-Africanist)  Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu
zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika  wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika   wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika   Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke baada ya kukutana na  kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja  Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika  wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na  Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia masuala ya Afrika   wa Kansela wa Ujermani Bw. Guenter Nooke na ujumbe wake alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Ibuge

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.