Habari za Punde

Ujenzi wa Barabara ya Kiwango Cha Lami Kutoka Mwera Kwa Kozi Hadi Jumbi Ukiendelea Kwa Kasi.

Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa barabara ya Mwera kwa Kozi hadi Jumbi ikiendelea na ujenzi huo kwa uwekaji wa lami, kama walivyokutwa Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwekla lami laini kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo kiasi kikubwa tayari imeshaweka lami na kuendelea na ujenzi huo, Barabara hii itawarahisisha Wananchi wa Mwera na Jumbi kukatisha katika barabara hiyo kutokea mwera bila kuzunguka kwa njia ya mjini na ya tunguu Wilaya ya Kati Unguja.   
Muonekano wa barabara hiyo ikiwa tayari imeweka lami na kuendelea na uwekaji wa lami hiyo kuelekea Mwera kwa Kozi.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.