Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Maeneo Yaliokumbwa na Mafuriko Mkoani Lindi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo la mto Njinjo katika kijiji cha Kipindimbi wilayani Kilwa  lililoathiriwa mafuriko wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko katika mkoa wa Lindi,
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha Nambilanje wialyani Ruangwa wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko mkoani Lindi kuwapa pole wananchi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha Kipindimbi  wilayani Kilwa wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februari 5, 20-20. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.