Habari za Punde

Mfanyabiashawa wa Kampuni ya Bopar Zanzibar Akabidhi Vifaa Mbalimbali Kwa Wizara ya Afya Zanzibar Kujikinga na Corona Zanzibar.

Waziri wa Afya Zanzibar (kulia)  Mhe.Hamad Rashid Mohamnmed akipokea baadhi ya Vifaa mbalimbali vya Tiba na viosheo mikono mikono Sanitaiza kutoka kwa Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Ndg. Said Nassir Nassor (BOPAR) kwa ajili ya kupambana na Maradhi ya COVID-19 Corona.hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Wizara ya Afya Zanzibar Mnazi mmoja 
Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar wa Kampuni ya Bopar Zanzibar Ndg. Said Nassir Nassor Bopar akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya kukabidhi vifaa kwa Wizara ya Afya Zanzibar kujikinga na Maradhi ya Corona. Makabidhiano hayo yamefanyikia katika viwanja vya Wizara ya Afya Zanzibar Mnazi mmoja leo.

Baadhi ya Vifaa mbalimbali vya Tiba ya Afya vilivyotolewa na Mfanyabiashara maarufu Zanzibar Bopar kwa ajili ya kupambana na maradhi ya Corona yalioikumbu Dunia, hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Wizara ya Afya Zanzibar mnazi mmoja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.