Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Zubeir Ali Maulid akitoka  katika Ukumbi mara baada ya kuahirisha Mkutano wa 18 wa Baraza la Tisa la Wawakilishi lililofanyika kwa takriban Wiki mbili.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akitoka katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirisha.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar mara baada ya kuahirishwa kwa Mkutano wa 18 wa Baraza hilo huko Chukwani.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mihayo Juma N’hunga akifanya mzaha na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar huku wakizingatia usalama wa kujikinga na Virusi vya Corona ka kuvaa Vibarkoa maalum.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.