Habari za Punde

Makamu wa Rais, mama Samia afanya kikao cha dharura cha haliya mazingira katika migodi yote nchiniMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano  Mhe  Mussa Azan Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao  hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.