Habari za Punde

Fifa kutoa Dola bil 1.5 kwa vyama vya soka kukabiliana na athari za janga la Covid-19

By Simon Evans (Reuters) - 
Fifa imetangaza leo kwamba imekubaliana na kuvisaidia vyama vya soka vya nchi wanachama kiasi cha Bil 1.5ambazo zitatumika kupunguza makali ya athari ya janga la Corona 
Kila chama cha Sioka kitapewa Dola Mil 1 na ziada ya dola laki tano zitatolewa maalum kwa ajili ya kusaidia soka la akinamama. Pia Mashirikisho ya soka ya kikanda kama CECAFA yatapewa Dola Mil 2 kila mmoja kwa lengo la kusaidia  
Rais wa Fifa Gianni Infantino amesema msaada huu utafikishwa kwa vilabu, wachezaji, ligi za nchi  ambazo zimeathirika kwa kiwango kikubwa na  janga la Corona.
Pia atahakikisha kunakuwa na udhibiti wa matumizi ya pesa hizi pamoja na mahesabu kufikishwa FiFa ili kuhakikiwa
ZFF natumai mtafuatilia jambo hili ijapokuwa si wanachama wa FIFA lakini msaada huu utakapokuja nchini utakuja kwa jina la Tanzania ambapo sisi ni washirika.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.