Habari za Punde

Kada wa 13 wa CCM Mhe. Dkt. Abdulhalim Mohammed Ali Achukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar

Kada wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Abdulhalim Mohammed Ali katikati akitoka katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar baada ya kukamilisha uchukuaji wa Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 13 wa CCM kuchukua fomu leo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.