Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi pamoja na waakilishi mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.

 Baadhi ya Waalimu wakishangilia wakati wa Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia Walimu wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya ufunguzi Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.