Habari za Punde

Matukio Mitaa Ajali ya Gari Barabara ya Miembeni

Muonekano ya Gari ya aina ya Ist ikiwa imepata ajali na kupinduka katika eneo la barabara ya miembeni na makutano ya barabara kutoka kwa Muumiyani madema, katika ajali hiyo hakuna Mtu aliyejeruhiwa na kupoteza maisha.  
Ajali hiyo imekutanisha gari mbiri Ist  ikiwa imepinduka yenye namba za usajali Z541JZ na gari aina ya Spacio yenye namba za usajili Z 283 JM.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.