Habari za Punde

Kongamano la tano la siku ya Mwani lafanyika kisiwani Pemba

 MKUU wa Wilaya ya Wete Mohamed Mussa Seif (Mkobani), akiwaongoza wananchi na wasarifu wa zao la mwani Kisiwani Pemba, katika maandamano ya Kongamano la Mwani Zanzibar lililofanyika katika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
 MKUU wa Wilaya ya Wete Mohamed Mussa Seif katikati na Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid, wakimsikiliza mmoja ya wanavikundi wanaosarifu zao la Mwani Pemba, wakati wa kongamano la Siku ya mwani Zanzibar lililofanyika katika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Wete Mohamed Mussa Seif akipata maelezo juu ya Scrub ya mwani inavyofanya kazi ya kusafisha mwili, kutoka kwa mmoja ya wasarifu wa bidhaa za mwani Pemba, wakati wakongamano la mwani Zanzibar lililofanyika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 OCD wa Wilaya ya Chake Chake anayejulikana kwa jina la Mfaume, akipokea risti lililopikwa kwa kutumia masalo ya zao la Mwani, wakati wa wakati wakongamano la mwani Zanzibar lililofanyika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MKUU wa Wilaya ya Wete Mohamed Mussa Seif (Mkobani) akipokea rosti la mwani kutoka kwa mmoja ya wafanyakazi wa Taasisi ya Milele Zanzibar Foundation, wakati wa maadhimisho ya kongamano la mwani, lililofanyika katika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 MMOJA ya wafanyakazi wa Milele Zanzibar Foundation, akiwatilia rosti la Mwani baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo na wananchi wengi waliofika katika kongamano la mwani Zanzibar, lililofanyika katika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Miradi ya Milele zanzibar Faoundation Khadija Ahemd Sharif, akitoa taarifa ya kongamano la tano la siku ya Mwani Zanzibar  lililofanyika katika viwanja vya Milele Mfikiwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.