Habari za Punde

Watia nia kugombea nafasi za ubunge na uwakilishi kupitia CCM wazidi kujitokeza kisiwani Pemba


MTIANIA kugombea uwakilishi Jimbo la Chonga Ahmed Abubakar Mohd, akikabidhiwa fomu za kuwania kugombea jimbo la Chonga, kutoka kwa kwa Kaimu katib wa CCM Wilaya ya Chake Chake Aziza Yussuf Saleh.
MTIANIA kugombea nafasi ya Uwakilishi jimbo la Wawi Shara Nassor Ali, akipokea fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi hiyo kutoka kwa kwa Kaimu katib wa CCM Wilaya ya Chake Chake Aziza Yussuf Saleh.

MTIANIA kugombea nafasi ya Uwakilishi jimbo la Olei Zaina Mbarouk Kitwana, akipokea fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi hiyo kutoka kwa kwa Kaimu katib wa CCM Wilaya ya Chake Chake Aziza Yussuf Saleh.

 MTIANIA kugombea ubunge wa Viti maalumu kupitia Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa kusini Pemba Ruthi Fabian Pauhe, akikabidhiwa fomu na karani wa UWT Kusini Pemba Habiba Ali Nassor .


MTIANIA kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Jumuiya ya Wazazi viti maalumu Pemba Zawadi Suleiman Abdalla, akipokea fomu ya kugombea nafasi hiyo kutoka kwa karani wa Wazazi Amona Abdalla Mbarouk.
 MTIANIA kugombea nafasi ya Uwakilishi kupitia  Viti maalumu kupitia Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa kusini Pemba Ashura Ayub Mussa, akikabidhiwa fomu ya kuwania kinyanganyiro hicho na karani wa UWT Mkoa wa  kusini Pemba Habiba Ali Nassor .
MTIANIA kugombea ubunge wa jimbo la Ziwani Wilaya ya Chake Chake Mohamed Othama Omar, akikabidhiwa fomu ya ugombea kutoka kwa Kaimu katib wa CCM Wilaya ya Chake Chake Aziza Yussuf Saleh.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.