Habari za Punde

Mama Maryam Hussein Mwinyi Amuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi kwa Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba.

Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akimuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mpira Gando Wilaya ya Wete Pemba na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dkt John Magufuli na Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani wa CCM.  

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akizungumza na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mpira Gando Wilaya ya Wete Pemba leo 27-9-2020. na kuwaombea Kura Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Umati wa Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi uliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Gando Wilaya ya Wete Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.