Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar MheDk. Ali Mohamed Shein Amtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibare Kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi Viwanja Vya Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya CCM Zanzibar  na (kulia kwa Mzee Mwinyi) Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal lipowasili katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya CCM Zanzibar  
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt Amani Karume alipowasili katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya CCM Zanzibar  
Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akimsalimia Mama Fatma Karume alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya CCM Zanzibar zilizofanyika leo 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi jukwaa kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali, Mgombea Urais wa Zanzibar.MheDk. Hussein Mwinyi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na (kushotokwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza kabla yamkaribisha mgeni rasmin Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzindua Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi kwa Wagombea Uwakilishi na Ubunge Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni za Mgombdea Urais wa Zanzibar na Wawakilishi na Wabunge Zanzibar uliofanyika katika Uwanja Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Kibanda Maiti Jijini Zanzibar , kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM
Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dkt. Amani Karume, Mama Fatma Karume, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Sheinna Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika jukwaa la Viongozi wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi  (CCM) wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akihutubia kabla ya kumtambulisha Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi, katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbio la Chumbuni Zanzibar Mhe. Ussi Salum Pondeza, wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM, baada ya kukabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika hafla ya ufunguzi wa Kampen I ya CCM zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi akimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za kuwatambulisha Wagombea wa  Ubunge na Uwakilishi, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi akimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za kuwatambulisha Wagombea wa  Ubunge na Uwakilishi, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.
MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi akimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni za kuwatambulisha Wagombea wa  Ubunge na Uwakilishi, uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.