Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Kassim Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Kampeni ya CCM Wilaya ya Rorya Mkoani Mara.

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Mkoma, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere - Shirati wilayani Rorya,
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rorya, Ayoi Mussa Sonde, kwenye mkutano wa kampeni uliyofanyika, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere - Shirati wilayani Rorya, Septemba 20, 2020. Katikati ni Mgombea Udiwani Kata ya Mkoma, Japhar Chege
Wananchi wa Kata ya Mkoma, wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere - Shirati wilayani Rorya, 
Wananchi wa Kata ya Mkoma, wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere - Shirati wilayani Rorya, Septemba 20, 2020.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.