Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Akagua Daraja la Sibiti Linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua daraja la mto Sibiti, linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu, Septemba 16, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa SIngida, Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua daraja la mto Sibiti, linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu, akiwa njiani kuelekea Bariadi,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua daraja la mto Sibiti, linalounganisha Mkoa wa Singida na Simiyu, Septemba 16, 2020. Kushoto ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Singida Injinia, Matari Masige. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.