Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Azungumza na Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akizungumza na Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar juu ya mwenendo wa uchaguzi ndani ya Chama pamoja na mipango mbalimbali ya kufanikisha uchaguzi wa dola unaotarajiwa kufanyika octoba 28/10/2020.
BAADHI ya Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakisikiliza kwa makini hotuba na nasaha za Katibu Mkuu wa CCM Dkt,Bashiru Ally Kakurwa wakati akizungumza na Baraza la Wazee huko Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar  juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi ndani ya Chama.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.