Habari za Punde

MAJALIWA AKAGUA ENEO LA UJENZI WA MRADI WA BWAWA LA MAJI LA FARKWA WILAYANI CHEMBA, DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo utakapojengwa Mradi wa Bwawa la Maji Farkwa wilayani Chemba, Dodoma, Novemba 21, 2020.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi Mazingira Jijini Dodoma (DUWASA), David Palanjo kuhusu eneo utakapojengwa mradi wa  Bwawa la Maji la Farkwa wilayani Chemba, Dodoma, Novemba 21, 2020. Kulia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo utakapojengwa Mradi wa Bwawa la Maji Farkwa wilayani Chemba, Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mombose wilayani Chemba, Dodoma baada ya kukagua eneo utakapojengwa Mradi Bwawa la Maji la Farkwa, Novemba 21, 2020. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.