Habari za Punde

Makamu wa Mwenyekiti wa CCM, Dk Shein aongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar  Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 18/11/2020, (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)

 WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Zanzibar na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika  katika Afisi Kuu ya CCM  Kisiwandui Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.