Habari za Punde

Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) aiunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi

Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO)Tabia Makame Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kuunga Mkono Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi alioitoa katika Baraza la kumi la Wawakilishi zanzibar hafla iliofanyika ukumbi wa Utamaduni Rahaleo Zanzibar. 12/11/2020

Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO)Tabia Makame Mohamed akitoa hotuba yake  mbele ya Waandishi wa Habari kuhusiana na kuunga mkono  Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi alioitoa katika Baraza la kumi la Wawakilishi zanzibar hafla iliofanyika ukumbi wa Utamaduni Rahaleo Zanzibar.12/11/2020

Baadhi wa Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano ulioandaliwa na Jumuiya ya Wajane Zanzibar(ZAWIO) kuhusiana na kuunga mkono  Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi alioitoa katika Baraza la kumi la Wawakilishi zanzibar hafla iliofanyika ukumbi wa Utamaduni Rahaleo Zanzibar.12/11/2020

 Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wajane Zanzibar (ZAWIO)Tabia Makame Mohamed akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na maswala ya Udhalilishaji wa Wanawake,Wajane na Watoto hafla iliofanyika ukumbi wa Utamaduni Rahaleo Zanzibar.12/11/2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.