Habari za Punde

Wabunge wa Jimbo la Gando na Kojani Pemba watoa msaada hospitali ya Wete

MBUNGE wa Jimbo la Gando Salum Mussa Omar  na Mbunge wa Jimbo la Kojani Hamad Hassan Chande (katikati), wakimkabidhi Daktari Dhamana wa Hospitali ya Wete Dk.Khamis Rashid Salum, vifaa mbali mbali kwa ajili ya hospiatli hiyo, vikiwemo mafeni, Box za Taizi, Glavu na kiti cha kubebea wagonjwa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
MBUNGE wa Jimbo la Gando Salum Mussa Omar  na Mbunge wa Jimbo la Kojani Hamad Hassan Chande (katikati), wakimkabidhi Daktari Dhamana wa Hospitali ya Wete Dk.Khamis Rashid Salum, fedha taslimu shilingi Milioni 1.2 kwa ajili ya ununuzi wa A/C kwenye chumba cha huduma ya mama na mtoto.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.