Habari za Punde

SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA SHULE ZA UMMA

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dk Zainab Chaula akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi na sekondari jijini Dodoma, jana. Mafunzo hayo yaliratibiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF). 

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dk Zainab Chaula akimkabidhi mmoja wa walimu waliohitimu mafunzo ya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi na sekondari jijini Dodoma, jana. Mafunzo hayo yaliratibiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dk Zainab Chaula akimkabidhi mmoja wa walimu waliohitimu mafunzo ya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi na sekondari jijini Dodoma, jana. Mafunzo hayo yaliratibiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).

Baadhi ya walimu kutoka shule za msingi na sekondari kutoka Tanzania Bara na Visiwani wakimskiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dk Zainab Chaula wakati wa kufunga mafunzo ya TEHAMA kwa walimu hao jijini Dodoma, jana.

Na Faraja Mpina - WUUM

Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ulio chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) umetoa mafunzo ya TEHAMA kwa walimu 601wa shule za umma za msingi na sekondari za Tanzania bara na Visiwani.

Mafunzo hayo yametolewa katika makundi mawili ambapo walimu 297 wamepata mafunzo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na walimu 304 katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ikiwa ni muendelezo wa Mfuko huo kutoa mafunzo hayo kwa walimu wa umma yaliyoanza kutolewa toka mwaka 2016.

Akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo hayo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt Zainab Chaula amesema kuwa mafunzo hayo ni muendelezowautekelezajiwa Sera yaTaifaya TEHAMA yamwaka 2003 na Sera yaElimuyamwaka 2014 zinazoainishakuanzishanakuimarishamatumiziya TEHAMA ilikuboreshamchakatowaujifunzajikatikaviwangotofautivyaelimu.

 

“UCSAF imegawakompyutamashuleni, walimumnatakiwakuhakikishawanafunziwanajuakuzitumia,ndiosababummepewamafunzoilimkatimizewajibuwenu”, alizungumzaDkt. Chaula

 

NayeMtendajiMkuuUCSAF, Justina Mashiba amesemakuwamfukohuoumekuwaukipelekavifaavya TEHAMA katikashule za umma pamojanakutoamafunzokwawalimuilikurudishaheshimakatikashulehizo.

 

Amesemakuwatangu UCSAF ianzekutoamafunzohayomwaka 2016, jumlayawalimu 2,213 washule za msinginasekondariwamepatamafunzohayoilikuwajengeauwezowakutumiavifaavya TEHAMA nakufundishia.

 

Ameongezakuwa, UCSAF inaendeleakujipangakwakushirikiananawadaumbalimbaliwakiwemoOfisiyaRaisTawala za MikoanaSerikali za Mitaa (TAMISEMI) naWizarayaElimu, SayansinaTeknolojiailikuendeleakuinuamatumiziya TEHAMA nchinihususanikwakuwezeshashule za umma.

 

Akizungumzakatikahaflayakufungamafunzohayo, MkurugenziwaElimuMsingi TAMISEMI, Suzan NusuamesemakuwawalimuwaliohudhuriamafunzohayowalikuwanavigezonaWizaraitahakikishamafunzoyaliyotolewayanatekelezwakwavitendoilikutimizalengolililokusudiwa.

 

ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini

WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaMawasiliano)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.