Habari za Punde

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA 11 LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wataalam wa ununuzi na ugavi wakati wa ufunguzi wa Kongamano la kumi na moja la wataalam wa ununuzi na ugavi, kwenye ubumbi wa AICC Arusha, Desemba 2,2020 Jijini Arusha
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiongea na wataalam wa ununuzi na ugavi wakati wa ufunguzi wa Kongamano la kumi na moja la wataalam wa ununuzi na ugavi, kwenye ubumbi wa AICC Arusha, Desemba 2,2020 Jijini Arusha.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Godfrey Mbanyi wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kumi na Moja la wataalam wa ununuzi na ugavi, uliyofanyika katika ubumbi wa AICC Arusha,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa vyeti kwa wadhamini mbalimbali wa Kongamano la kumi na moja la wataalam wa ununuzi na ugavi, Desemba 2,2020 Jijini Arusha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa vyeti kwa wadhamini mbalimbali wa Kongamano la kumi na moja la wataalam wa ununuzi na ugavi, Desemba 2,2020 Jijini Arusha
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.