Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi alifungua Jengo Jipya la Kisasa la Tawi la CCM Matale Jimbo la Chonga, Mkoani Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Kisasa la Tawi la CCM Matale Jimbo la Chonga Wilaya ya Mkoani Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba leo 5-1-2021 ikiwa ni shamrashamra za sherehehe za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi (Picha na Ikulu)
MUONEKANO wa jengo jipya la Tawi la CCM Matale Wilaya ya Mkoani Jimbo la Chonga Pemba lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chonga wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengi jipya la Tawi la CCM Matale Pemba.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Matale Chonga Ndg. Mohammed Ali Bakari akisoma risala ya WanaCCM wa Tawi la Matale wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Tawi hilo, uliofanyika leo 5-1-2021 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
WANACHAMA Wapya wa Chama Cha Mapinduzi wakila kiapo cha Ahadi ya Chama Cha Ma;pinduzi baada ya kukabidhiwa Kadi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Ufunguzi wa jengo jipya la  Tawi la CCM Matake Chonga.(Picha na Ikulu)
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo Jipya la Kisasa la Tawi la CCM Matale Pemba, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. (hayupo pichani).(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi katika hafla ya Ufunguzi wa Tawi la CCM Matale Chonga, akiwa katika ziara yake Kisiwanin Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)  

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.