Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amewaapisha Wakuu wa Wilaya Aliowachagua Hivi Karibuni Hafla Hiyo Iliofanyika Ikulu leo 4-1-2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Marina Joel Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Issa Juma Ali,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Hamida Mussa Khamis,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Unguja  hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha CDR.Mohammed Mussa Seif,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Rashid Simai Msaraka,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Sadifa Juma Khamis,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Aboud Hassan Mwinyi,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Rashid Makame Shamsi,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Mgeni Khatib Yahya,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Abdalla Rashid Ali,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

WAKUU wa Wilaya za Unguja na Pemba wakifuatriulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu leo jioni 4/1/2021.


MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibarv leo jioni 4-1-2021 na (kulia kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma
WAKUU wa Wilaya za Unguja na Pemba wakifuatriulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu leo jioni 4/1/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.