Habari za Punde

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA MHE. WANG YI ATEMBELEA MWALO WA SAMAKI WA CHATO MKOANI GEITA KATIKA SIKU YA PILI YA ZIARA YAKE NCHINI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki na Waziri wa  Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi wakipata maelezo kuhusu minofu ya samaki wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa  Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021.
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.