MBUNGE wa Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Hamad Hassan Chande, akimkabidhi misahafu pamoja na vitambu mbali mbali vya kliarabu, mmoja kati ya viongozi wa kamati ya walimu wa madrasa jimbo la Kojani Haji Idarous Bakari, kwa ajili ya kugawiwa katika vyuo vya kurani vilivyomo ndani ya jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MBUNGE wa Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Hamad Hassan Chande, akimkabidhi boksi za Tende mmoja kati ya viongozi wa kamati ya walimu wa madrasa Salum Hamad Issa, kwa ajili ya kutolewa kwenye miskti mbali mbali iliyomo ndani ya jimbo hilo. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment