Habari za Punde

Usafi wa Fukwe za Bahari ya Forodhani umeanza

Kampuni ya Coastal Dredging inayomilikiwa na Said Salim Bakhresa imeanza kuzifanyia usafi fukwe za bahara ya Forodhani kama inavyoonekana kwenye picha


Mwakilishi wa Kampuni ya Coastal Dredging ambae i mtoto wa Said Salim Bakhressa akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe Leila Mohammed Mussa hapo Forodhani ambae alifika kujionea mwenyewe zoezi lilivyokuwa likiendelea.

Waziri aliambatana na  Katibu Mkuu wake wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Fatma Khamis, pamoja na Mkuu wa Wilaya mjini Magharibi (DC), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Ndugu Khamis Abdallah, Wakurugenzi wa Taasisi ya Mazingira, Balozi Mdogo wa France Zanzibar na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Sekta binafsi. 


 

1 comment:

  1. Hii habari mumeifyetua tu. Kwanza huyo anaeongea Abdul-Swamad Abdul-rahim sio mtoto wa Bakhressa. Na hicho cheo kipya cha mkuu wa wilaya ya mjini magharibi nafkiri kinahitaji kufanyiwa ubatizo.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.