Habari za Punde

Wanafunzi Skuli ya Kisiwandui wapatiwa elimu namna ya kuchukua tahadhari mvua za Masika


 Afisa upimaji wa Afya za wanafunzi kutoka kitengo cha Elimu mjumuisho na stadi za maisha  bwana Mohammed Idarous Mohammed,  akitoa elimu kwa Wanafunzi wa Skuli ya msingi Kisiwandui juu ya namna ya kuchukua tahadhari pamoja na mambo ya kufanya katika kipindi cha mvua za masika zitakaponyesha.


Na Maulid Yussuf WEMA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.