Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Dkt.Philip Mpango Afungua Maadhimisho ya Wiki ya Kumbukizi ya Sokoine.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akifunga Wiki ya Maadhimisho ya 17 ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine leo Mei 27,2021 katika Kampasi ya Moringe Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA Mhe. Jaji Warioba baada ya kufunga Wiki ya Maadhimisho ya 17 ya Kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine leo Mei 27,2021 katika Kampasi ya Moringe Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro SUA. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.