Habari za Punde

Innalillah Wainna Ilayh Rajioun Mzee Wute Msanii na Mtunzi wa Vitabu na Mashairi Zanzibae Mzee Gora.

Mzee Haji Gora Msanii Mkongwe amefariki dunia leo na anatarajiwa kuzikwa Kijiji Kwao Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya Sala ya Adhuhuri Tumbatu Zanzibar, Mzee Gora hajawahi kusoma hata darasa moja lakini ametunga vitabu zaidi ya 10 na baadhi yake vinafundishiwa katika skuli za Tanzania. Ametunga mashairi zaidi ya 80. Moja wapo maarufu ni Kimbunga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.