Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Awasili Mkoani Tanga leo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewasili Uwanja wa Ndege wa Tanga akitokea Jijini Dodoma ambapo leo Usiku atamuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi katika Kilele cha Sherehe za Tanzania Muslim Teachers' Association Day.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.