#Updates: Kwa niaba ya familia naomba kutoa taratibu za msiba wa Waziri Ally
Ndugu na jamaa wote kukutana Mwananyamala Hospitali asubuhi hii.
Tunatarajia mwili utasafirishwa leo saa tano asubuhi kwenda Tanga ambako msiba utakuwa barabara ya 21 karibu na kiwanda cha Chuma zamani.
Mazishi yatakuwa kesho Jumapili kijijini kwao Pongwe.
Aboubakary Liongo
No comments:
Post a Comment