Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar atembelea kikundi cha Riziki haina mja Ole kisiwani Pemba

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab (kushoto), akimkabidhi fedha taslimu shilingi Milioni moja (1,000,000) afisa Vijana Wilaya ya Chake Chake Stara Khamis Salim, kwa ajili ya ujenzi wa banda la kufugia kuku kwa kikundi Cha Riziki haina mja cha Mjini Ole.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab, akikagua mitungule iliyopanda ndani ya Green House ya kikundi cha Riziki haina mja cha Mjini Ole.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.