MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake
Bakari Hamad Bakari, akikagua banda la skuli ya maandalizi Ditia Jimbo la Wawi,
kwa ajili ya kufanyiwa matengenezo makubwa hadi kukamilika kwake, baada ya kupitishwa na kamati ya
jimbo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wajumbe wa kamati ya jimbo la Wawi Wilaya
ya Chake Chake wakikagua, skuli ya maandalizi Kibokoni Vitongoji skuli hiyo
tayari imeshapangwa na kamati hiyo kumalizwa ujenzi wake, kupitia mwakilishi na
mbunge wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Jimbo la Wawi Wilaya ya Cjke Chake
Bakari Hamad Bakari, akizungumza na wananchi wa Kibokoni Vitongoji mara baada
ya kukagua ujenzi wa skuli ya maandalizi Kobokoni, ambayo inahitaji kuezekwa kwa
sasa kupitia mwakilishi na Mbunge wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WANANCHI wa shehia ya kibokoni Vitongoji
wakimsikiliza kwa makini Mwakilishi wa jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake,
wakati alipofika kukagua ujenzi wa banda la skuli ya maandalizi kibokoni,
ambayo imo katika mkakati wa kumaliziwa ujenzi wake na mwakilishi wa jimbo
hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment