Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua kituo cha Afya Mbuyumaji, Matemwe mkoa wa Kaskazini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Afya Mbuyu Maji Matemwe na (kushoto) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassoro Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kukifungua Kituo cha Afya Mbyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.