Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Mhe. Tony Blair.Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Ikulu leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair alipofika  Ikulu Jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair alipofika  Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 22,2021.
 (Picha na Ikulu).No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.