Habari za Punde

Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja SMT na SMZ ya kushughulikia masuala ya Muungano yakutana Zanzibar

Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bw. Thabit Idarous Faina akiongoza Kikao cha Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja SMT na SMZ ya kushughulikia masuala ya Muungano kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga, Zanzibar leo tarehe 16/08/2021. Kushoto ni Mwenyekiti Mwenza wa Kikao hicho Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (SMZ) Bi. Mary Ngelela Maganga. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Cesilia Nkwamu

Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais,  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Bw. Thabit Idarous Faina akiongoza Kikao cha Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja SMT na SMZ ya kushughulikia masuala ya Muungano kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga, Zanzibar leo tarehe 16/08/2021 ikiwa ni maandalizi ya Kikao cha Kamati ya Pamoja ya SMT na SMZ ya kushughulikia Masuala ya Muungano.

Wajumbe wakifuatilia mjadala katika Kikao cha Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja SMT na SMZ ya kushughulikia masuala ya Muungano kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga, Zanzibar leo tarehe 16/08/2021. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (SMZ) Bi. Mary Ngelela Maganga na Kushoto ni Bi. Siajabu Suleiman Pandu, Mkurugenzi wa Uratibu wa Shughuli za Serikali katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.