WAZIRI wa Habari
Utamaduni na Vijana Zanzibar Tabia Maulid Mwita, akizungumza na wasanii wa
ngoma za asili Kisiwani Pemba, wakati wa mashindano ya ngoma hizo.
MKUU wa Wilaya ya
Micheweni Mohamed Mussa Seif (Mkobani), akizungumza na vijana mbali mbali wa
uchongani na uchomaji mara baada ya kukabidhiwa vifaa vyao kutoka Wizara ya
Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar
WAZIRI wa Utalii na
Mambo ya Kale Zanzibar ambae pia ni mwakilishi wa Kuteuliwa Viti maalumu
kupitia wasomi Kisiwani Pemba Lela Mohamed Mussa, akimkabidhi fotokopi mashine
Mwalimu Mkuu wa skuli Uwandani Sekondari Khamis Ali Abdalla.(
No comments:
Post a Comment