Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mwanza, Mhe. Mary Masanja akikabidhi pikipiki na majiko ya gesi kwa Jumuiya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kwimba alipofanya ziara katika jumuiya hiyo
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mwanza, Mhe. Mary Masanja akifurahia pamoja na wanajumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kwimba baada ya kuwakabidhi pikipiki, majiko a gesi na kompyuta alipofanya ziara katika jumuiya hiyo
Katibu wa CCM Wilaya ya Kwimba Latifa Malimi akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mwanza, Mhe. Mary Masanja (katikati) kwa niaba ya wanajumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kwimba(hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa pikipiki, majiko ya gesi, kompyuta na fedha za kuanzisha miradi midogomidogo katika kikao kilichofanyika
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mwanza, Mhe. Mary Masanja akizungumza na wanajumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kwimba(hawapo pichani) alipofanya ziara katika jumuiya hiyo
Baadhi ya wanajumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kwimba wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mwanza, Mhe. Mary Masanja (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ziara yake iliyofanyika leo katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Kwimba.
No comments:
Post a Comment